Jan 22, 2009

WAREMBO NA KAMATI YA WAGENI.....WAPI NA WAPI???????????????


Ama kweli wazazi wana sababu ya kuwakatilia watoto wao kutoshiriki katiko mashindano yoyote ya urembo Tanzania.
Hapo mwanzo nilikuwa mmoja ya watu niliyekuwa nikiwalaumu wazazi kwanini wanawanyima uhuru watoto wao,na pia kuwaomba watoe dhana potofu kuwa urembo ni uhuni.Lakini kutokana na mambo wanayofanya walimbwende hawa hivi sasa,inanifanya niunge mkono dhana ya wazazi kuwa urembo na uhuni vipo sambamba.
Hapa ninapoandika habari hii,nina masikitiko na mshutuko mkubwa kwa yale niliyoyaskia na kuyaona yanatendeka jijini dar na warembo hawa,baada ya kufanya shughuli za jamii, na kuijenga jamii kuelewa kuwa urembo ni kazi kama kazi nyingine,wao ndo kwanza wanaionyesha jamii kuwa urembo ni uhuni.Huwezi amini ndugu msomaji wa kwa nafasi kuwa WALIMBWENDE wa bongo hivi sasa wamepewa idara ya kukaribisha wageni,,,,,,,,,,,,,,,,,,usidhani wanawaonyesha vitega uchumi vya nchi yetu???????maana hapo wangekuwa wanalisaidia taifa letu kwa njia mmoja au nyingine....
Kwa wale wasiojua na wasio na taarifa,ni hivi siku hizi akija mgeni yoyote wa kutoka nje ya nchi yetu, haswa wale maarufu kama,wachezaji,wanamuziki na wengineo,basi warembo huitwa sehemu maalum wakachill kama wenyewe wana vyoita.....sasa hapo mwenye bahati yake haya atapata,asie na bahati ndio basi tena,,,,,,,,,,,,,,,,,,sasa hii si ni aibu jamani....sasa hapa ndipo ninapokosa maana halisi ya urembo wa bongo unavyotumika......yani kukaribisha wageni,,,mmh na kuchillllllllllll naooo.....haaaaaaaaaaaaa.....KAMATI HUSIKA LENU HILO TUNAWAKILISHA..........na ndio maana wengine wanakutwa katika mahoteli makubwa wamekunja nne na kinywaji kimoja masaa matatu .nyie walimbwende vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.?

No comments:

Post a Comment