Valentine day inajulikana dunia nzima kuwa ni siku ya wapendanao,lakini kwa wabongo mambo huwa tofauti kwao ni fumanizi dayyyyyyyyyyyyyy.
Wengi wenu mtakuwa mmesema hivi huyu au hawa watu wa kwa nafasi inakuwaje wanaongea ukweli mtupu na wanazipata wapi hizi,jibu ni kwamba kuwasoma wabongo auhitaji darasa wala ramani kwa jinsi vitu vyao visivyo jificha.
Leo naizungumzia hii siku ya tarehe 14 mwezi wa pili kuwa ni siku ya kupumzika kama si kumtoa mwenzi wako, au familia yako, mkawa na furaha na amani bila maudhi ya hapa na pale, yasiyo na kichwa wala miguu.Kuna wabongo wengine wale ambao wanamahusiano na zaidi ya mmoja ,wao siku hii huwa tofauti kwao,baada ya kuwa siku ya furaha kwao karaha na mpaka inafikia kuichukia hii siku,maana anajua za mwizi zimefika na hajui ajigawe vipi na kila mtu siku hiyo anataka kuwa na mtuye,,,,,hapo ndipo kwenye patashika nguo kuchanika na sababu tele..
Natumia wakati huo kuwajulisha baadhi ya sababu zinazotumika kwa siku hii,MOJA....Mpenzi huanza kununa siku saba kama si kumi kabla,bila sababu ya maana.PILI............kutafuta ugonjwa asio kuwa nao ukiongea nae kwenye simu au kuonana nae,,,,,.TATU......Utamsikia tarehe kumi na nne nitakuwa na familia yangu leo baba au mama kanipigia kunijulisha......NNE....Unaweza usionane nae kwa muda wa wiki mbili kabla kwa kudai kuwa yuko busy.....na TANO....Huamua kuzima simu kabisa.Ukiona mwenza wako anadalili mmoja wapo kati ya hizo ujue kwa hapo huna mwenza ni tapeli wa mapenzi tuu,na kujiepusha na ugomvi na fumanizi,usimfatilie wala usiende kwake bila ahadi kwa maana siku hii ni siku ya ngumi za wazi wazi hapa jijini..........na ukimkuta sehemu na wewe jifanye haumjui japo kuwa ni nguuumu.
Cha kujiuliza ni kwanini wabongo sio waaminifu wamapenzi jamani?????????na kwanini asilimia kubwa ya mtu na mwenzie wanakuwa na makovu kama si usoni,mwilini ukimuuliza kulikoni nilipigwa na mupenziiii wanguuu,,,,,,,,,,,, haaaaaaaaaaa.......mupenzi gani huyu huyu au mpenzi jini.......Najua wengine nimewaharibia ila ni zama za ukweli na uwazi mwambie unae wako valentine day wako na sio usubiri fumanizi daya wakoooo,
Jan 21, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment