Leo tumeingia kwenye mada kubwa kidogo na ambayo iko tofauti sana na mila na desturi zetu, dini zinakataza pia.
Si kitu kipya sana katika jamii yetu kwa hivi sasa ila kwa zamani kilikuwa ni kitu tofauti kabisa,na si kingine ila ni USHOGA.Inaeleweka kabisa si katika jamii tuu,ila pia katika dinia zote iwe ya kikristo au kiislam hata wapagani mambo haya yanapingwa vikali.
Inasikitisha kuona vitendo hivi sasa vimekuwa vinafanyika hadharani,bila aibu au staha jambo ambalo linasikitisha sana,na kupelekea kujiuliza tunaelekea wapi watanzania?Kama si mwisho wa dunia au mwisho wa IMANI NA AMANI?
Vitendo hivi zamani vilikuwa vinajulikana kuwa vinafanyika tanzania visiwani yaani Zanzibar,Tanga na Mombasa,lakini hali ya sasa hivi ni tofauti kabisa na kupelekea uchafuu huo kuhamia tanzania bara haswa jiji dar.Kama utakuwa mtokaji wa sehemu za starehe utaungana mkono na mimi kuwa vimekithiri kabisa,si sehemu za TAARABU na sehemu za MUZIKI WA DANSI,cha ajabu ni kwamba watu wanawafurahia na kukaa nao pamoja kabisa,na ukiangalia watu wao wakaribu ni VIOO VYA JAMII,nadhani kila mtu anaelewa maana ya kioo cha jamii.sasa watu hawa walitakiwa wawe mfano wa kuigwa kwa kuwatenga hawa watu lakini matokeo yake wanakaa nao na kucheka nao na wengine mpaka kuwaweka katika matangazo yao ya vipindi......................Baadhi ya watu wamesema kuwa watu maarufu wanawake wanaongozana nao ili waweza kupata mabuziiiiiii,,,,mmh eti kwa kuwa hawa mashoga ni makuwadii wakubwa..hapo kidogo nikaelewa ni kwa nini wasichana wengi wa mjini wanapenda kutoka nao kumbe wanawatafutia mabuziiiiiiiiiiiiiii,,......eeh nilichoka.Nikauliza na Wanaume pia mbona waongozana nao nilivyojibiwa ndipo nilipochooka kabisaaa....na kufanya nijiulize ushoga Tanzania unaelekea kwenye uhalali??????????????????????????????????Kama nguo za kike wanavaa na kusifiwa kuwa wamependeza,wanaenda mpaka kwenye kitchen party,wanatangaza matangazo pia, kinachoacha maswali mengi kichwani mwangu ni kwamba hivi wanawafurahia kwasababu hiki ni kitu cha kawaida kabisa, je na wao wanafanya vitendo hivi au? kipi kilichobaki?????????na wapi tunaelekea WATANZANIA WENZANGUUU..........................................................?
Jan 21, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
So good
ReplyDeletePolo
http://elfogondepolo.blogspot.com/