Jan 20, 2009

KILEVI AU ?,UGORO,PARIKI,KUBERI .......................

Kumekuwa na mtindo sijui niite au kuigana tuu au kufata mkumbo,kwa hivi sasa kwa baadhi ya vijana mpaka wale wanaitwa kioo cha jamii pia kutumia.
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la watumiaji wa ugoro,pariki na kuberi kwa vijana wa sasa.inashindwa kueleweka kipi kinachowapelekea kutumia ulevyi huu kama ni ulevyi kweli.
Hapo zamani ni Wazee tuu ndio waliokuwa wantumia sana ugoro,pamoja na sigara.lakini hivi sasa ni vijana kwa wazee ndo wanatumia ulevyi huo na pia hao wazee pia wamepunguza kama sio kuacha kabisa.Kilichopelekea kuandika habari hii katika kwa nafasi ni masikitiko yangu kwa hawa vijana wanaona hivi sasa ujana unaraha na majiayamoto.mi naamini hakuna kilevyi kisichokuwa na madhara.ukiachana na meno yao kuharibika na kutia kinyaa kwa ugorona mapariki naamini kuna madhara ya ndani kwa ndani.
Wao wenyewe wanakwambia vinawachangamsha.sasa sijui ni kwa kutema mate au sana na kuchafua jiji?au kwa vinywa vyao kuwa vichafu?
Uchunguzi uliofanywa na safu hii ,umegundua kuwa ulevi huo unatumiwa sna na vijana hawa ni kwa sababu ya unafuu wake na pia,hawaombwi pafu au kogongea kama wenyewe wanavyosema.............lakini tunawakumbusha kuwa jamani starehe gharamaaaa....na mnakera watu wengi mnavyotema mate ovyo ovyo kama wajawazito?au kuna mimba za kime.......aibuuu hiiiiiiiiiiiiiiii

2 comments:

  1. yni sijui,niseme nini ndugu mwandishi kwa jinsi ninavyokerwa na wavulana kutema mate ovyo kwa makuberi yao,usipate tabu umesahau kumuandika jina la msanii anaetumia kuberi ni juma nature,anakera sana

    ReplyDelete
  2. Kuberi ilikuwa kiboko sana weeeh wanaume kama wajawazito

    ReplyDelete