Eti mimi ni mwanaume wa mjini ooh unachezea bahati mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm.Kama bahati ni hiyo basi jua kuwa bahati duniani zimeishaaaaaa.
Kumekuwa na baadhi ya wavulana wamjini kama wanavyojiita wao wenyewe kujisifia sana kuwa wao ndio wenye mji wa dar,sasa waulize wanakitu gani cha kuonyesha wao ni wamjini na utamtambuaje kuwa huyu ni wamjini?hapo ndipo utakapocheka mpaka basi.Eti anajulikana mjini kwa kuvaa vizuri hahahahha,na pili ANAUWEZO WA KUTEMBEA NA MSICHANA YOYOTE MAARUFU hehehe,Tatu ANATAJWA KWENYE NYIMBO,Ohooooooooo,na nne ANAMILIKI GARI,Hapo sasa wakati nyumba kapanga.
Sasa najiuliza hizo sifa mbona hazifanyi uwe mtu wa mjini kama wao wanavyojiita au hawajielewi.Au wanadhani jamii yote haina upeo kama wao?yani mtu utembelee gari zuri uku unalaa miguu nje au unaoga kwa foleni ni akili au matope?mie nilijua mambo hayo wanafanya wakongo tuu maana wao kuvaa na kujikoroga ndo kazi yao hata walale chini.Chakushangaza mambo hayo hawa wanaume wa mjini wameyapatia wapi?Na alie waambia kuwa na wasichana wengi ndio ujanja ni nani?
Ukweli ni kwamba huo ni ushamba tuu kaka zangu,siku hizi watu wanaangalia maendeleo sio sifa zenu za kitoto,kuvaa cheni kubwa hata kama la kuchovya,kubeba simu ya gharama hata kama ya wizi pale azam,Kuendesha gari zuri hata kama lakuazima,Au kuwa na wasichana wengi,kifupi ni kwamba tunajua yupi ni mwanaume wa mjini na yupi sie, kwa kuangalia MAENDELEOOOOOOOOOOOOO...........................Kuvaa hata watoto wanavaa si tuna wanunuliwa na wazazi wao.hahahahahahah.....
Jan 19, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment