
Hilo ni swali tuu ambalo wanajiuliza baadhi ya watanzani kwa hivi sasa, kuwa bila
urembo kwenye chama au bila kupaka mapoouder haupati nafasi mjengoni?
Kuuliza swali au kutaka kujua ukweli sio kosa katika dunia yetu ya sasa,kama baadhi ya maoni na wadau wa safu hii ya kwa nafasi,wanataka kujua ukweli juu ya hili sasa sijui na wao wanataka kuingia mjengoni au nikutaka kujua tuu.
Kwanza nakitakia kila la heri chama chetu,lakini najiuliza uku tunapooenda ni wapi ?je niwakati wa urembo na madaraka?au ni wakati wa warembo kuteza na wasio warembo kusaauliwa?
kwa upande wangu mimi naona kama urembo umekuwa wakwanza katika madaraka alafu uelewa na uwezo wa mtu ni vya mwisho.hivi hapa ninapoiaandika habari hii kila mtu anakwambia unataka maisha ya starehe, jiingize kwenye chama.mmh nikashangaa ni chama hichi cha enzi hizo za akina BIBI TITI? au kingine?nikajibiwa wewe wa wapi umetoka kiboriloni nini?huna habari ya kuwa kila mtu mwenye uzuri na kujuana na watu wa chama ananafasi kubwa sana katika chama ,aaah nikashangaa sio tena uelewa ni urembo.hapo ndipo nikajijibu ndo maana kila msichana na baadhi ya viongozi ni warembo sana na baadhi yao wanamapoouder.
Sasa hapa najiuliza katika sera za elfu mbili na kumi itakuwepo sera ya urembo na na mapouder?mmh nikasema hayaaa wabaya zamu yao itafika lini? maana warembo ni wakati wao.
Hi!! Your blog are very nice and more info. I hope follow my blog and please click my google ads.
ReplyDelete